Mtumiaji:Muddyb

Kutoka Wikibooks

Habari. Mimi ni Muddyb Blast au Mwanaharakati wa Wikipedia. Vile vile ni mmoja wa waendelezaji wa mradi wa Wiki. Ninapenda kuendeleza miradi hii ya Wiki!! Hapa ndio kwanza ninaaza kuingia na sina uhakika sana kama nitaendeleza kitabu hiki!! Kwa sasa niko katika sw:wiki: http://sw.wikipedia.org/wiki/Mwanzo

Viungo vya nje