Nenda kwa yaliyomo

Mtumiaji:SideMontero

Kutoka Wikibooks

Habari, Naitwa Said Abdallah Said Salim. Nimezaliwa Mei 22, 1989, Dubai, U.A.E. Kwa sasa ninaishi Dar es Salaam, Tanzania. Mimi ni mtumiaji mzuri kiasi wa lugha ya Kiswahili. Napenda kuikuza na kuilinda lugha ya Kiswahili.

kama una maoni, mchango au lolote unalotaka kunieleza, tafadhali bonyeza hapa.

Ahsante!.