Kanisa

Kutoka Wikibooks
Jump to navigation Jump to search

KANISA

Neno hilo linatumika kumaanisha mkusanyiko wa Wakristo katika ngazi ya kimataifa na katika mahali fulani. Linaweza kutumika pia kumaanisha jengo wanamokusanyika hasa kwa ibada. Kadiri ya imani ni Mwili wa Kristo, ambao unaundwa na Yesu kama kichwa na wafuasi wake kama viungo vyake.