Peleka kurasa

Jump to navigation Jump to search

Unaweza kupeleka nakala za maandishi ya kurasa fulani, pamoja na mapitio yao, kwa kuiviringishia na XML. Nakala hizi zinaweza kuletwa katika wiki nyingine ya MediaWiki kwa kupitia ukurasa wa kuleta.

Kupeleka kurasa, andika majina yao katika sanduku chini, jina moja kwa kila mstari. Chagua kupeleka ama haririo ya kisasa pamoja na mapitio yote ya awali na maelezo ya historia, ama haririo ya kisasa pamoja na maelezo ya haririo la mwisho tu.

Ukipeleka haririo ya kisasa tu, unaweza kutumia kiungo kinachokwenda ukurasa wa chanzo, kwa mfano Maalum:Toa/Mwanzo kwa ajili ya ukurasa wa "Mwanzo".