Majadiliano:Mwanzo

Yaliyomo ya ukurasa hayatumiki katika lugha nyingine.
Kutoka Wikibooks

Kwani hapa hamna wakabidhi? (Adminstrators). Ikiwa mupo je bwana Dini unalipi la kusema!! Basi kama upo tayari naomba nitafute katika http://sw.wikipedia.org/wiki/User_talk:Muddyb_Blast_Producer ili tuweze kupanga mjadala vizuri!! Ikiwemo kubadilisha menu ziliandikwa Kiingereza na kadhalilika. Tuwasaliane tafadhali.--Muddyb Blast Producer 11:36, 27 December 2007 (UTC)